Jeremiah 9:10


10 aNitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima
na kuomboleza kuhusu malisho ya jangwani.
Yamekuwa ukiwa, wala hakuna apitaye humo,
milio ya ng’ombe haisikiki.
Ndege wa angani wametoroka
na wanyama wamekimbia.

Copyright information for SwhKC